oneactiont1
|
|
Definitions
created on August 3, 2015
As we are heading to Tanzania General Election on October 25, 2015, we have reasons to remind each other the the importance of maintaining our country peace.
Chagua Tanzania is a campaign which aiming at reminding all Tanzanian that we have to choose wisely for the sake of our country. We need to choose leaders who will put country's and people's interest in the foremost than their political interest.
We remind Tanzania that, those politician will come and go, but Tanzania as a country with remain. If they pt their interest on an individual than a country we will end up in conflict and crisis which will endanger country Peace and economic development.
We call also all political leaders NOT to think of them self, rather the country and its people.
#ChaguaTanzania #Vote4Tanzania
created on August 2, 2015
Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania, October 25. 2015, tunayo kila Sababu ya kukumbushana juu ya umuhimu wa kudumisha amani katika nchi yetu.
Chagua Amani ni kampeni ya kuamsha ari ya watanzania ili kutumia kura yao kwa ajili ya kumchagua kiongozi bora kwa maslahi yao na taifa lao na sio kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa.
Kampeni hii ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali itikadi za kisiasa, dini wala ukabila.
Kiongozi bora, Ndiyo Amani yetu ma maendeleo yetu.
Chagua Tanzania, katika uchaguzi mkuu na sio Siasa.
created on August 2, 2015
Tunapoelekea katika maadhimisho ya siku ya amani duniani, September 21, na tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania, October 25, 2015, tuna kila sababu ya kukumbushana juu ya amani yetu.
Chagua Amani ni kampeni ya kuhamasisha Watanzania kuchagua amani kwa ajili ya Tanzania hasa katika kipindi hiki tunapoelekea uchaguzi mkuu.
Kampeni hii inawalenga watanzania wote bila kujali itikadi ya chama au dini, na inahamasisha wananchi kutoshabikia siasa ambazo zinaweza kutowesha amani ya nchi yetu.
Kiongozi bora ndiyo amani yetu na maendeleo yetu, ushabiki wa kisiasa utatirudisha nyuma na kutuingiza katika machafuko.
One Action Tanzania inawakaribisha Watanzania wote kuungana nasi kuwakumbusha Watanzania na viongozi wote, kuweka amani ya taifa mbele ya maslahi yao ya kisiasa.

